Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
mwenyew nampenda sana huyu mdada kutoka THT ni mzuri sana ase black beauty ana sauti nzito nzuri kila siku namskiza jamani nyimbo zake sio siri nimefall in love kwake nampenda sana nataman aje kuwa mke wangu.please naomba kama yupo JF ata anitafte bas anipe nafas ya kuwa nae,au mtu unamfahamu embu mfikishie ujumbe huu nipate namba ake.ananivutia sana huyu mrembo ase nimeshindwa kuvumilia wakuu.....