Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
Ahsante san mkuu nilikuwa sipafahamu hapo,umenijibu vema san ubarikiwe.nadhani siku nikirud Dar nikatafte.Umejiongeza sana aisee, ila kama ushajua anapatikana THT, kwa nini usiende hapo, na wanafanyia mazoezi hapo daily.
Panda mwendo kasi ili uwahi kufika, ushukie Biafra ama Moroco ya kinondoni. Labda kama THT walihama pale.
Changamka, yaweza kuwa ndiyo wewe unasubiriwa pia. KILA LA KHERI.
Ahsante!