southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 882
- 1,075
Wakuu habari.
Mwanamke wangu aliniambia kuwa mwezi huu hajaona siku zake tukasema tusubiri kidogo labda zimechelewa, lakini amekuja kuniambia ameingia period ila nikihesabu ni siku ya 43 au 44 hivi tokea aingie period ya mwisho, ananiambia na zinatoka sio za kawaida ni kama nyeusi zilizokuwa zimekaa mda mrefu. anahofu asije akawa na tatizo
Wanajukwaa JF Doctors nisaidieni hili ni tatizo? Au ni kawaida au kuna kitu sio cha kawaida?