Msister mmolja awa maeneo ya Namanga baada ya kuishi kwe mahusiano na jamaa 1 kwa muda mrefu alijaribu mchepuko siku 1 na siku hiyo hiyo akanasa mimba, sasa alipompigia huyo jamaa kumweleza amepata mimba yake jamaa kamjibu sawa.
Sasa jamaa hapokei tena simu akibabili kumpigia kwa namba nyingine anasema yuko bize na walikutana kwe basi, sasa mdada anaweweseka tu na kushinda ndani kutwa nzima hata home kwa wazazi kashindwa kwenda.
Michepuko ni mibaya kwa wadada!