Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,177
- 2,553
Information smoke screen = kutoa au kusambaza taarifa za kupotosha ili kuficha jambo la kweli au la siri.
Mimi nimeweka tu sipingi wala nnVitaonngea vingi sanaaa. Focus ipo kwa Captain na Pole Pole na wapenda haki wanaojulikana
Walewale tu mkuu, mpuuzeKAANDIKA: INFORMATION SMOKE SCREEN, hivyo
Baada ya kuingia CHATGPT...Nikapata tafakuri ya maneno hapo chini
Neno “information smoke screen” linamaanisha:
👉 “pazia la moshi la taarifa” au “upotoshaji wa taarifa” kwa Kiswahili.
Ni mbinu ya kuficha ukweli kwa kutoa taarifa nyingi za kupotosha au zisizo muhimu ili watu washindwe kutambua ukweli halisi.
🔹 Mfano wa matumizi:
Serikali ilitoa information smoke screen ili kuficha chanzo cha kashfa.
Kampuni ilitumia taarifa za uongo kama smoke screen kuficha matatizo yake ya kifedha.
📘 Kwa ufupi:
Nini maoni yako??
NB: POST yake kule x ( ama twitter ) haina lisaa toka alipoweka
Na muhimu pia ule mkeka wake aliyowahi post miaka ya nyuma bado unapumua kwa asilimia kubwa
Nawasilisha
Hapana, inabidi tuwaze deep ili tupate majibu stahikiWalewale tu mkuu, mpuuze
Ungeweka hiyo x na mkeka wa huo ungewasaidia wengi na huu uzi ungekuwa na tija zaidi.KAANDIKA: INFORMATION SMOKE SCREEN, hivyo
Baada ya kuingia CHATGPT...Nikapata tafakuri ya maneno hapo chini
Neno “information smoke screen” linamaanisha:
👉 “pazia la moshi la taarifa” au “upotoshaji wa taarifa” kwa Kiswahili.
Ni mbinu ya kuficha ukweli kwa kutoa taarifa nyingi za kupotosha au zisizo muhimu ili watu washindwe kutambua ukweli halisi.
🔹 Mfano wa matumizi:
Serikali ilitoa information smoke screen ili kuficha chanzo cha kashfa.
Kampuni ilitumia taarifa za uongo kama smoke screen kuficha matatizo yake ya kifedha.
📘 Kwa ufupi:
Nini maoni yako??
NB: POST yake kule x ( ama twitter ) haina lisaa toka alipoweka
Na muhimu pia ule mkeka wake aliyowahi post miaka ya nyuma bado unapumua kwa asilimia kubwa
Nawasilisha
Ni yule jamaa alihusika kwenye deal kubwa la upigaji BOT Kisha wakatengeneza script kwamba amekufa akiwa Ughaibuni baadae wajanja wakastukia mwamba yuko hai anakula maisha huko UghaibuniHuyu simjui
Mkuu,,, binafsi sijui....ila kinachomfanya nimfatilie ni ule mkeka wake ambao mpaka sasa unapumua......watu kawa hawa ni lazima uwazingatie hasa ukizingatia yupo low profile,,,Hayati Gavana kafufuka? Mmmmh. Au yuko Gamboshi? 🤔
Ndio hivyo watu wanamchukia poa huyu jamaa...ila haya maneno ni ya kutafakari sanaAiseeee
Mkuu,, mimi nimeleta alichokiandika kule X....ili nipate mawazo na kujifunza sio kama nafungamana nayeYeye pia part ya hiyo smoke screen.
Kwa nini aje Leo chap kwa haraka baada ya Captain.
Ndio,,,, inavyosemekana lakiniNi yule jamaa alihusika kwenye deal kubwa la upigaji BOT Kisha wakatengeneza script kwamba amekufa akiwa Ughaibuni baadae wajanja wakastukia mwamba yuko hai anakula maisha huko Ughaibuni
Rais akiwa nani?Ni yule jamaa alihusika kwenye deal kubwa la upigaji BOT Kisha wakatengeneza script kwamba amekufa akiwa Ughaibuni baadae wajanja wakastukia mwamba yuko hai anakula maisha huko Ughaibuni