Alichofanyiwa huyu dada leo.....!!

Labda Mimi nimesoma vibaya....sijaona aliposema alirudi kwenye gari....
 

Huyu jamaa msimuamini, kutunga habari feki ndiyo mlo wake wa kila siku!
 
Hapa vunjabei hii ghorofa ya emirates ndani kuna bureau ndio hapahapa nimeshuhudia hata mm
Nawe pia utaitwa MUONGO 🤣🤣🤣

Yaani baadhi yetu tuna tabia ya "kutoana akili kweli" labda angeandika GENTA ingeonekana kweli ha ha ha
 
Kwanza bahati yake walimtoa tu hapo kwenye duka la kubadilishi hela,maana hiyo ni kesi,wangeweza kumfungulia mashtaka.
 
Kimeumana
 
Alafu hii tabia ya mtu kaenda na pesa feki sehemu fulani na kuanza kumfanyia ABUSE kama mtuhumiwa si vizuri watu wengi hawajui fedha feki kuna wezi ila pia kuna waliobambikiwa

Mfano huyo Dada huyo mwenye B'Change si angekataa tu una mdharirisha mtu vipi.

Kama limemtokea huyo na kumsimanga kwa kile unachokiita 'Malaya' bila kuangalia nini kilichotokea si sahihi inaweza mtokea yeyote hata Mamayako je utasimama na 'umalaya'
 
Ashukuru yupo salama angekutana na danga ambaye ni jini angekomaje
 
Point👍

Jamaa hawakufanya POA...Kwani fedha feki kuijua ni kazi....

Wamemdhalilisha huyo dada...
 
Inaonekana jamaa hakumsubiria
 
Kwanza bahati yake walimtoa tu hapo kwenye duka la kubadilishi hela,maana hiyo ni kesi,wangeweza kumfungulia mashtaka.
Je niwote walio na fedha feki mkononi ni wanafahamu hizo ni feki??

Wote wanaoenda kufanya huduma fulani na fedha feki ni waharifu??, tufanye wote ni waharifu je yule aliyepokea na yeye kwenda kufanya huduma sehemu nyengine na yeye muharifu??

Fedha...medium of Exchange
 
Inawezekana huyo dada alikuwa mbishi akiamini katoa fedha halali kumbuka alikuwa pombe watu wapo kazini lazima wa react
 
Inawezekana huyo dada alikuwa mbishi akiamini katoa fedha halali kumbuka alikuwa pombe watu wapo kazini lazima wa react
Kwa sababu hiyo nasapoti...ila hii imekuwa tabia uki Hold fedha feki ukaenda kufanya muamala sehemu muhudumu akaijua feki Response anayotoa ni ABUSE tu Matusi na anaweza kukuitia WIZI HELL IS THAT.

kama suala la kuitiwa MWIZI watu wanavtamia na kumpiga mtu.
 
Inabidi masista duu wapewe elimu jinsi ya kutambua fake dollars
 
Sinza madukani kuna burea de change
 
Huwa wanataka Wenyewe ABUSE km wakigundua kuwa hata wewe hukujua
mm nishashuudia tena BANK ilikuwa NMB AIRPORT na Na Kwingne BACRAYS tawi la
Teller akamtole elf ya kumi ya kwnza chenga ya pili chenga jamaa kabaki kaduwaa ilikuja ya tatu akazirudisha km 5 hivi au 6 katika milion
Then akaweka zile zingne wala akumuabuse wala kuita mlinzi tena NMB km unavyojua ni mamwela kabisa
Na BACRAYS ilikuwa hvyohivyo sema wao wakamrudishia zote akaambiwa azichambue aje zikiwa sawa BACRAYS alikuwa mwanamke !a!
Sasa huyo dada inaonesha alileta UBISHI na akajiona mzuri inaoneshwa aliambiwa kifea tu hizi feki ila inaonesha alileta ubishi ndio maana
 
... hata kama jamaa kaleta chai hakuna mahali aliposema gari ilimsubiria. Kwa kawaida kahaba likishushwa mahali chombo kinatambaa kwa mwendo wa hatari lengo ni pamoja na kuficha identity ukizingatia muda wenyewe asubuhi kweupe! Tena wamemwachia na $ fake; hata line hazipatikani saa hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…