Alichofanyiwa huyu dada leo.....!!

Inabidi masista duu wapewe elimu jinsi ya kutambua fake dollars
... yap! Jeshi letu la polisi litoe elimu kwa makundi ya wananchi ambao wako hatarini kukutana na $ fake including dada zetu wa "night kali".
 
TETESI

Inasemekana huyo Manzi ni JF Member tena ID maarufu tu humu anijitapaga sana nisije pigwa BAN
 
Hapo ni wafu kwa wafu.haijawahi kuwa salama hata siku moja
 
Baada ya maduka yote ya kubadili fedha kufungwa kuna vichochoro kibao vya siri vya kibadili fedha ambavyo sio halali, so hio ndio pona yake mana hawana pa kumshitaki nao ni wahafu tu wanabadili fedha kimagendo, la sivyo saiz angekua ananyea debe.
 
Niliwahi kumbana na kadhia hii ya fedha fake.....unatakiwa kuwa mpole na kufuata maelekezo ya mtu wa kaunta maana anakuepusha na jela.........

Mimi niliambiwa tu kiongozi mbona haya ni makaratasi.......nikazikusanya nikachomoka kimya kimya hata wa nyuma yangu hakujua.......
 
Bureau gani inabadili fedha za kigeni siku hizi? Natambua Bureau zote zilifungwa kipindi cha Magufuli na sasa hivi ukitaka kubadili fedha lazima uende bank.

Duh hili swali la logic limenijia fasta kichwani nlipoanza tu kusoma..
 
Hivi hiyo kitaalamu mnaokula masikhara mnaitaje?

Mbinu gani imetumika?
 
Ukute jamaa alipewa hadi tunu ya taifa akaichapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…