Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Leo watumishi wa taasisi na ofisi mbalimbali zilizopo mkoa wa Dar es salaam tuliungana Uwanja wa Mkapa kusheherekea siku yetu kama ilivyo ada.
Sasa ile kaanza kuongea katibu wa TUCTA MKOA watu wakaanza kuondoka kwa nguvu.
Binafsi sikupenda ila baada ya kiongozi wetu nasi kutuambia tuondoke sikuwa na namna tuliondoka haraka.
Yaani mpaka Makala anahutubia nahisi alibaki na meza kuu tu licha ya kwamba Uwanja wote ulijaa majukwaa ya juu.
Kamati ya shughuli ijiandae vyema safari nyingine watumishi wanaweza kuishia getini tu na kuondoka.
Spika mnaweka za kitoto, hamtoa utaratibu unaoeleweka.