Alichokiandika Ahmedy Ally (msemaji wa Simba)

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
[emoji3578]Anaandika Ahmedy Ally

Al Ahly amewahi kuchukua Ubingwa wa Kombe la Shirikisho mara moja tu tena miaka 9 iliyopita.

Wydad Casablanca hajawaji kuchukua Ubingwa wa Shirikisho hata group Stage hajawahi kucheza.

Mamelod hajawahi hata kushiriki Kombe la Shirikisho na halijui
Esparance hajawahi kushiriki hata hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho.

Zamalek imechukua ubingwa wa Shirikiaho mara moja tuuu.

Umeelewa nini?!!
Kombe la Shirikisho sio kipaumbele cha sisi timu kubwa, hatutamani kushiriki kombe hilo kwa sababu haliakisi mafanikio na ukubwa wetu.

Kwanini hatuvutiwi sana na Kombe la Shirikisho, Kwa sababu inashirikisha timu ndogondogo na timu mpya ndo maana kila siku unasikia majina mapya kina KMC, Biashara Geita, Namungo na wengine wadogo wadogo katika chi zao
Ukiona Mzee anafurahia Kombe la Shirikisho jua amekwama.

Nini maoni yako??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
SIZITAKI MBICHI HIZI ..................
Lazima tujue kwamba hawa jamaa kusongo mbele ni ngumu kuliko TEMBO kupanda Bajaji
 
Ndio maana sipendi mpira wa bongo .

Wydad Casablanca ameshawi kuingia kwenye group Stage 2012 na alishika nafasi ya 3 kwenye group lake


Mamelodi Sundowns ameshiriki Mara 4
Mwaka 2007 aliingia kwenye makundi

Sent from my Q2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…