Alichokiandika Josephine Mushumbusi Katika Ukurasa Wake Wa Facebook!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
20,834
Reaction score
26,217
Habari wana bodi, maneno hayo hapo chini ndiyo aliyoyaandika mke wa aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa


Tunasoma magazeti..........


 
Mke wa Dr slaa Kawa bonge sana siku izi
 
Waooooo!! Sio siri wanapendeza, mashujaa waliogharamika kuilinda heshima yao kwa kukataa siasa za ulaghai. Mnakumbukwa sana na wote wenye kupenda ukweli, wanaosimamia maneno wayasemayo iwe jua iwe mvua, wasio na ndimi mbili, watakao madaraka lakini si kwa kushirikiana na mashetani, wasiogeukageuka kama kivuli na watu wanyoofu wenye hofu ya Mungu.
Tumewamiss. Mtarudi lini nyumbani?
 
Hahaha jamaaa naona unajipendekeza japo upewe kazi ya ulinz akirud mr mihogo! akisoma coment yako kwenye ufalme wake wa kuajiri vibaraka hutokosaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…