Alichokiandika Josephine Mushumbusi Katika Ukurasa Wake Wa Facebook!

mimi nadhanga msomi level ya dr slaa kuruhusu mkeo kutumia mkorogo!!!!
 
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14] mchumba anaumri sawa na bibi yangu mzaa baba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wivu sio mzuri binti mmbichi kabisa huyo
 
Hivi wanaishi wapi kwa sasa hawa watu?
 
Delilah akitabasamu baada ya kazi kuisha.
 
Hahahahhahaaa huu uzi nimecheka sana,watu mna vituko hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…