Abdalah Lyimo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 269
- 153
Kusahau chealseaHivi wadau hizi timu kaharibu ni kweli zimezidiwa au hua Kuna kamchezo kanaendelea Kati ya wamiliki wa timu na wenye makampun ya Bet tusije kua tunapoteza hela tu Kama kweli watu wanashinda hela ndefu yeyote atupie screen shot ya mkeka aliokula wa hela nyingi
Mkuu kama uliangalia mech vizut utagundua kuwa man city walizidiwa sanaa, mpaka de bruney alivoingia mech kidogo mashambulizi yaliongezekaHivi wadau hizi timu kaharibu ni kweli zimezidiwa au hua Kuna kamchezo kanaendelea Kati ya wamiliki wa timu na wenye makampun ya Bet tusije kua tunapoteza hela tu Kama kweli watu wanashinda hela ndefu yeyote atupie screen shot ya mkeka aliokula wa hela nyingi
Tena sio kadogoAmini usiamini Tangu makampuni ya kubet yaongezeke kuna matokeo ya ajabu sana,vijana wenzangu mpaka mstukie kamchezo kanakochezwa mtakuwa mnaBet na wajukuu zenu
Vimichezo vidogo vidogoChelsea sina hamu,mikeka mitatu ya hela ndefu kachana,yan anamchapa city home,nae anachapwa na leicester hapo stamford? Ameniangusha sana.
Sio pouwaChelsea sina hamu,mikeka mitatu ya hela ndefu kachana,yan anamchapa city home,nae anachapwa na leicester hapo stamford? Ameniangusha sana.
Hivi wadau hizi timu kaharibu ni kweli zimezidiwa au hua Kuna kamchezo kanaendelea Kati ya wamiliki wa timu na wenye makampun ya Bet tusije kua tunapoteza hela tu Kama kweli watu wanashinda hela ndefu yeyote atupie screen shot ya mkeka aliokula wa hela nyingi
Aise shukuru mungu hujui kubet. Na usiombe ujueNifundisheni kubet
Mbona zinapata kila siku maana hujiulizi kuna kampuni ukibeti 10000 wanakupa 50000 bonus it means wana uhakika na kazi yaoKama kuna siku kampuni za kubeti zilipata fedha ni jana. Chelsea na mwenzake Man City walichofanya acha tu!