johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Michezo anaocheza Waziri Kivuli mstaafu wa Mambo ya Nje mh Wenje wa kuwagombanisha Mbowe na LISU ni Ule ule aliocheza Waziri wake kuwatenganisha JK na Eddo 2015 Ili yeye apate fursa ya kugombea
Na Kwa uchovu wa Chadema ya Sasa simuoni Shujaa kama Magufuli wa kukiokoa Chama, ninaowaona ni CHAWA Watupu akina Benson
Mlale unono 😂
Na Kwa uchovu wa Chadema ya Sasa simuoni Shujaa kama Magufuli wa kukiokoa Chama, ninaowaona ni CHAWA Watupu akina Benson
Mlale unono 😂