YetuMacho
Member
- May 31, 2016
- 16
- 17
Kwa sasa Ali Kiba anafanya ziara katika vituo mbalimbali vya Radio na wiki iliyoisha alikua TBC FM akifanya mahojiano na D Jaro Arungu na Baghdad. Katika Interview hiyo alielezea mambo mengi sana ikiwemo kuvuja kwa wimbo wake, video ya wimbo huo wa Aje pamoja na dili lake la Sony.
Ikafika kipindi D Jaro akamuuliza ni wimbo gani wa Diamond alikiba anapenda kuusikiliza, japo kulitokea ubishani kidogo ila Ali Kiba alijibu swali hilo kwa kusema hayaaaa, tizama video hapa chini
Ikafika kipindi D Jaro akamuuliza ni wimbo gani wa Diamond alikiba anapenda kuusikiliza, japo kulitokea ubishani kidogo ila Ali Kiba alijibu swali hilo kwa kusema hayaaaa, tizama video hapa chini