Alichokisema Ali Kiba kuhusu wimbo wa Diamond anaoupenda hiki hapa

YetuMacho

Member
Joined
May 31, 2016
Posts
16
Reaction score
17
Kwa sasa Ali Kiba anafanya ziara katika vituo mbalimbali vya Radio na wiki iliyoisha alikua TBC FM akifanya mahojiano na D Jaro Arungu na Baghdad. Katika Interview hiyo alielezea mambo mengi sana ikiwemo kuvuja kwa wimbo wake, video ya wimbo huo wa Aje pamoja na dili lake la Sony.

Ikafika kipindi D Jaro akamuuliza ni wimbo gani wa Diamond alikiba anapenda kuusikiliza, japo kulitokea ubishani kidogo ila Ali Kiba alijibu swali hilo kwa kusema hayaaaa, tizama video hapa chini

 
Duh na thread umeanzisha kwa ishu hii na sisi tume-comment aiseeeeee kweli JPM anabana mpaka tunakosa kazi za msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…