Alichokisema Amunike baada ya gemu Lesotho

Sasa arudie tena harafu tufungwe aone kama kibarua kitaendelea - ampigie simu maximo anajua fika soka la bongo na washabiki wake.

Kifupi washabiki wa Simba na Yanga wakishakuchoka wewe huwezi fanya kazi Tanzania hata kama TFF inakuhitaji - kazi utaiona chungu.

Watanzania wana sababu ya kusikitika kwani hata wao mpira wanaujua; unapanga mabeki 9 unategemea ushinde game?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…