Alichokisema Jokate kwenye mazishi ya mama wa Johari inauma sana

Maneno hayo hayaumizi

Anayeumia ni mfiwa,pengo la mama halizibiki. Pole sana Johari
 
Wabongo bwana kufa kufaana, jokate kaongea maneno ya kawaida kabisa wewe unaweka heading ya ajabu ajabu ili kupata viewer uje upige pesa you tube, pyuuuuuu
 
Aliyoyaongea kimsingi na mahubiri ambayo hupewa wafiwa walio wengi, tbh, a very good counseling.
 
Mara ya mwisho kukutana live na JOHARI ilikuwa Dec 8,2017 saa 2 usiku
 
Wapuuzi hawa, wamsaidie mbongo muvi mwenzao anayeumwa miguu. Maana hata kumzungumzia tu hatusikii. Siyo kutafuta umaarufu kwenye misiba kwa kuvaa miwani mikubwa utafikiri mafundi wa kufanya welding, huku wamevaa sare zilizoandikwa "Tutakukumbuka Daima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…