we jamaa unajibu umbea tu badala ya kujibu kwa ufasaha swali muhimu.
ni kweli jide, octopizo na mmarekani mmoja mwwnye asili ya brazil jina limentoka ataimba huo wimbo maalum wa kombe la dunia uloandaliwa na cocacola kama alivyofanya K'naan ktk WOZA 2010 na wimbo ake wa 'weaving flag'(if ndo jina sahihi la wimbo)
Umeonaa mwanaume suruali sie tumpeleke wapii alishwee tu na Jide

Ulichokosea ni kuhamisha heading nzima toka kwenye blogs na magazeti ya kidaku na kuleta hapa! Read before pasting.
Hata kuwa spear tyre hana vigezo yule .
..ategemee kwa jide ndo aje ahonge

blog gani labda kwa mfano?
Hata kuwa spear tyre hana vigezo yule .
..ategemee kwa jide ndo aje ahonge
blog gani labda kwa mfano?
Mwenzangu unahongwa hela za mwanamke mwenzako, akatafute zake mwanaume suruali tu yule asipopewa na Jide hana kitu
wanaimba na mwanamuzik kutok Kenya octopizo yaani ni nyimbo itakayotumika dunia nzima ni special kwa ajili ya kombe LA dunia, hapana chezea anaconda wewe
we jamaa unajibu umbea tu badala ya kujibu kwa ufasaha swali muhimu.
ni kweli jide, octopizo na mmarekani mmoja mwwnye asili ya brazil jina limentoka ataimba huo wimbo maalum wa kombe la dunia uloandaliwa na cocacola kama alivyofanya K'naan ktk WOZA 2010 na wimbo ake wa 'weaving flag'(if ndo jina sahihi la wimbo)
Achana naye huyo
Binamu tustori twa hivi achana nato..........
we ukiletaa habari zinakua deep sio kama hii