Kwani movie nyingine za umu mnatoaga bei gani ?? Umu mautamu yote bure wewe tu
Kila kitu humu bure ni wewe tu na bundle yako, vp uko umenusurika mafuriko??
Miee tenaaa vipi umenipata kule chinii pm!?
we jamaa unajibu umbea tu badala ya kujibu kwa ufasaha swali muhimu.
ni kweli jide, octopizo na mmarekani mmoja mwwnye asili ya brazil jina limentoka ataimba huo wimbo maalum wa kombe la dunia uloandaliwa na cocacola kama alivyofanya K'naan ktk WOZA 2010 na wimbo ake wa 'weaving flag'(if ndo jina sahihi la wimbo)