Alichokisema Wema Sepetu akiwa Polisi, leo kasahau yote

Kuntakint

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
1,767
Reaction score
1,526
Anasema alikuwa hamjui Bashite ila sasa kamjua na anampenda sana.

Nakuuliza wewe Wema umemjua Bashite kwa vile unataka ufutiwe kesi. Kwanini upoteze utu wako kwa tamaa ya pesa.

Mbona akina Lulu wako gerezani, mbona akina Winnie Mandela walifungwa. Unashindwa hata kushauriana na mzazi wako. Mpaka mama analalamika kwenye vyombo vya habari.

Wakati kesi ilipokuwa hot mama hakulala kwa ajili yako. Na alisema ulimwambia BASHITE anakutaka.

Nakukuuliza tena. Hivyo leo umekubaliana na BASHITE?? Wema washukuru CHADEMA kwani bila akina Lisu, Kibatara. Bashite angekufunga na leo hii usingekuwa unayaongea hayo.

Bashite alishindwa kukufunga baada ya magwiji wa sheria kuingilia kati kesi yako. Ndio maana ukawa nje hadi leo unamkumbatia BASHITE. Sikiliza haya maneno yako
 

Attachments

Kuna kitu watu hawajakisoma vyema ukiangalia macho ya Wema.
Wema ana tatizo la akili, au tuseme Wema ana kiwango cha chini sana cha IQ nadhani amejaliwa tuu makalio (kama haitakuwa kazi ya mchina). Huwezi kulinganisha kiwango cha IQ cha Wema hata na yule sijui wanamwita Ebitoke (anisamehe kama nimekosea jina lake) wa komedi.
 
Umejuaje analow IQ
 
Umenena Mkuu
Wengi wanababaika na kizungu chake lakini IQ capacity yake ni very low
Huwezi mtu ukayumbishwa kama piya bila kujielewa
Kwa ufupi hajitambui
Ataishia kuwa chakuraaaaa ya nanihinoo
 
Hivi kwa nini watu mnahangaika na Kahaba!
Mungu ameonya kufanya ukahaba.

Imeandikwa, Mithali 5:3-14 "Maana mdomo wa Malaya hudondoza asali na kinywa chake ni laini kuliko mafuta lakini mwisho wake ni mchungu kuliko panga ni mkali kama upanga wa makali kuwili miguu yake inatelemkia mauti hatua zake zinashikamana nakuzimu hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima nji azake ni za kutanga-tanga wala hana habari basi wanangu nisikilizeni sasa wala msiache maneno ya kinywa changu itenge njia yako mbali naye wala usikaribie lango wa nyumba yake.
 
Mi nilichojifunza ni kuwa.." Atakayebaki chadema hadi baada ya 2020, bac ni shujaa zaidi ya Mandela". Mateso wanayopata wapinzani hivi sasa, hata makaburu wa SA hawakuwafanya hivi wapinzani wao.
Katili kushinda Idd Amin, lakini Mbona watabaki sana. Ingia group la M4C uone, bado vjana wanadetermination ya kusonga mbele. tena kwa amani
 
I personal,SIONI UMUHIMU WAKE NDANI YA CHADEMA./ its just like a ""KIKARAGOSI""

Msihangaike na Kahaba

Swali: "Je, Biblia inasema nini kuhusu uzinzi? Je, Mungu atasamehe mzinzi?"

Jibu: Uzinzi mara nyingi hujulikana kama "taaluma ya kale zaidi." Hakika, daima imekuwa njia ya wanawake kupata pesa, hata wakati wa Biblia. Biblia inatuambia kwamba uzinzi ni usherati. Methali 23: 27-28 inasema, "Kwa maana kahaba ni shimo refu, na Malaya ni rima jembamba. Naam, huotea kama mnyang'anyi ; na kuwaongeza wenye hila katika wanadamu."

Mungu anakataza kushirikiana na makahaba kwa sababu anajua kuhusika kama hiyo kuna madhara kwa wanaume na wanawake. "Kwa maana midomo ya mwanamke mwovu hudondoza asali, na kinywa chake ni laini kuliko mafuta; lakini mwisho wake huwa machungu kuliko pakanga, ni mkali kama upanga wa makali kuwili. Miguu yake inateremkia mauti; Hatua zake zinashikamana na kuzimu"(Mithali 5: 3-5 NKJV).
 
Nlicheka sana mlipomuandaa sumaye kumpokea wema.
 
Mkuu upo sahihi tangu namjua wema sepetu binafsi huwa nachukulia kuwa hana AKILI TIMAMU na sio yeye tu hata yule mamake. Nilithibitisha pale mamake alivyomrekodi yule mpuuzi mwingine asiye na akili anayeitwa Steve.huwa siwapendi wasanii wa bongo nikiamini kwamba wana mambo mengi ya kipuuzi lakini wema ni mpuuzi zaidi. Tofauti ya wema na makonda kama ipo ni ndogo mno
 
>>>asante kwa neno.
 
Hana jinsi aende akatembeze "k" lumumba ili aendelee kubakia mjini. Alafu bashite anatumia nguvu nyingi ili kujishawishi kuwa yeye ni "mwanaume". Mwanaume halisi huna haja ya kufanya chochote ili uwe mwanaume!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…