mbona unapindisha mada. Au kwa sababu aliesema si slaa?Mi kaniacha pale aliposema kuwa kila mwanafunzi Tanzania atakuwa na Laptop....sijui ni za kichina au midoli kwani sijui tutazitumia kwenye umeme gani au ndo tutaenda kuchajia kwa jiarini kwenye jenereta na Invetor au solar???
Hivi industry vipi zinaongoza kwa kutoa ajira tz???????
Heshima kwako The Boss,
Sina hakika sana nadhani viwanda vya nguo vinaweza kuongoza kwa kutoa ajira kwa wingi.Mkuu chanzo changu ni May day nimeshuhudia maandamano yakitawaliwa na viwanda vya nguo.Ukibahatika kuwaona waajiriwa wa kiwanda cha A to Z na Sunflag utabaki kinywa wazi jinsi walivyo wengi.Inasikitisha sana maslahi yao ni duni kupita maelezo,wanapata mshahara chini ya tsh 100,000/= kwa mwezi no medical allowance,no house allowance kwa ujumla wanapata maslahi duni sana.