Alichosema prof ngugi pale nkurumah

Alichosema prof ngugi pale nkurumah

GABRAISON5

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2013
Posts
208
Reaction score
44
Jana wanajumuiya ya udsm walipata bahat ya kumsikiliza nguli wa fasihi na lugha afrika na dunian kwa ujumla prof ngugi wa thiong'o aliongea mengi kuhusiana na lugha za kiafrika kumezwa na lugha za ughaibun nini tumejifunza kutoka kwa huyu profesa?naomba kuwasilisha
 
duuuh hizi post zngne.sijui ni hangover!?
 
Wewe ni Msomi??......huu nauita ni Upuuzi uliotukuka.....
 
Jana wanajumuiya ya udsm walipata bahat ya kumsikiliza nguli wa fasihi na lugha afrika na dunian kwa ujumla prof ngugi wa thiong'o aliongea mengi kuhusiana na lugha za kiafrika kumezwa na lugha za ughaibun nini tumejifunza kutoka kwa huyu profesa?naomba kuwasilisha

Elimu yako tafadhali.., maana nisije nikakutwanga madongo kumbe sio saizi yako.
 
huyu dogo ni mwaka wa kwanza ambaye ni kizazi cha mulugo
 
Back
Top Bottom