GABRAISON5
JF-Expert Member
- May 13, 2013
- 208
- 44
Jana wanajumuiya ya udsm walipata bahat ya kumsikiliza nguli wa fasihi na lugha afrika na dunian kwa ujumla prof ngugi wa thiong'o aliongea mengi kuhusiana na lugha za kiafrika kumezwa na lugha za ughaibun nini tumejifunza kutoka kwa huyu profesa?naomba kuwasilisha
Elimu yako tafadhali.., maana nisije nikakutwanga madongo kumbe sio saizi yako.