political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
Ronaldo ana ufundi gani na wewe?Messi ni mchezaji mzuri lakini Cristiano ni mchezaji mwenye ufundi yakinifu, mdogo wao Neymar jr ni mfalme wa mchezo wa soka ulimwenguni.
Huko kacheza na kutupia magoli mengi mno, baadae akaamua kurudi AC Millan.Hana akili jamaa!
Sawa kocha nimekusikia vyema.Ronaldo ana ufundi gani na wewe?
Ronaldo ni hard worker ila in terms of Ufundi ni Lionel Messi. Messi anacurl freekicks, anapiga pasi za macho, anatoa assists hata katikati ya uwanja.
Hawajui kuwa marekani watu huwa wanaenda kutengeneza brand wakati Saudi ni pesa.Uzuri Messi mwenyewe kishashinda kila kitu, so sasa hivi ana enjoy mpira hana presha anacheza kwa kurelax na alichotaka ni utulivu.
Kama angetaka kubaki ulaya angebaki kwani PSG walimwomba abaki na Barca nao walimtaka. So sizani kama anamda wa kukamia sana mechi, sasa hivi yy anacheza kuenjoy.
PSG walitamani sana abaki sema kutokana na hostile treatment aliyopokea kwa PSG Ultras hasahasa baada ya kutukana mama mzazi wa Messi , akaona hapa bora aondoke, hela sio kila kitu.Uzuri Messi mwenyewe kishashinda kila kitu, so sasa hivi ana enjoy mpira hana presha anacheza kwa kurelax na alichotaka ni utulivu.
Kama angetaka kubaki ulaya angebaki kwani PSG walimwomba abaki na Barca nao walimtaka. So sizani kama anamda wa kukamia sana mechi, sasa hivi yy anacheza kuenjoy.
Anamuongelea Messi aliyeshinda kila kitu Ulaya? Au kuna mwingine anayemuongelea?[emoji599][emoji2424] Ibrahimovic:
"It's very easy to score goals in the MLS. If Messi thinks he's the best in history, he should score at least 7 goals in every game, because he's playing against filmmakers and hip-hop artists."View attachment 2723082
Kwanza Zlatan anamkubali Messi kinomaHizo football trolls...sio kweli zlatan kuongea hivo
Hii hapana asee πππanatoa assists hata katikati ya uwanja.
ni utani[emoji599][emoji2424] Ibrahimovic:
"It's very easy to score goals in the MLS. If Messi thinks he's the best in history, he should score at least 7 goals in every game, because he's playing against filmmakers and hip-hop artists."View attachment 2723082
Ina maana game ya PSG ambayo Messi alimpa assist Mbappe katikati ya uwanja hukuiona? Tena ligi kabisa.Hii hapana asee πππ
jamaa huwa ni mtu wa utani sana.Huyo jamaa ni bingwa wa kukandia tu.
Aliwahi kusema magoli mengi ya Pele ni offside sema kipindi yanafungwa hapakuwepo sheria ya kuotea.
Na kwamba kama yeye angecheza zama zile angemzidi mabao Pele.