Alidai hana hamu ya tendo, na sasa ana maumivu. Je, hii hali ni ya kawaida kwa wajawazito?

Bwai

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
721
Reaction score
488
Ni imani kuwa kila moja wetu humu JF ni mzima wa afya.

Nina jambo moja ninaomba kuwashirikisha, jambo lenyewe ni hili; Mke wangu ana ujauzito wa kama miezi minne na ni mimba yake ya kwanza. Mwenzangu huyu amekosa hamu kabisa ya kufanya tendo la ndoa, hata kumgusa tu ili kumwandaa hataki.

Nimehangaika kumbembeleza aniambie kama kuna tatizo akaniambia hajisikii tu kufanya hilo tendo.

Kuna siku hapa nikambembeleza akawa kama amenionea huruma akanipa ila hata dakika tatu sijafika juu yake akaniambia humalizi tuu?

Nilifedheheka sana ila sikuwa na jinsi, nikamalizia hilo bao nikashuka. Kuendelea kumdadisi akaniambia anahisi maumivu ukeni.

Je, ndugu zangu hili ni jambo la kawaida kwamba ni kipindi tu kitapita? Na je kuna chochote cha kufanya kumrudisha kwenye hali yake ya awali?

Natanguliza shukrani zangu kwenu wadau.
 
Pole sana kwa tatizo lako mkuu. Najua umuhimu wa hilo tendo.

Je kabla ya ujauzito alikuwa anabana miguu?
 
Bwai ujue nakusubiri unijibu kama mkeo kabla ya ujauzito alikuwa akinana miguu.
 
Wenyewe wanasema ujauzito sio ugonjwa lakini asikwambie ile hali wanayopitia hawa watu tuwaheshimu tu.
Tukirudi kwenye hoja yako, wanatofautiana kati ya mtu namtu. Mwingine inampelekesha mwanzo mwisho, hataki kusikia kabisa hayo mambo. Mwingine hapo ndio sasa mtaanza hadi uchoke mwenyewe, kundi lingine anaweza asiwe na kujisikia mwanzoni lakini baada ya miezi mitano ya awali ya ujauzito, anakaa sawa kidogo mnaendelea na biashara. Jitahidi tu kumuelewa na kumfariji.
Ukionyesha kuumuzwa na hilo jambo utazidi kumuongezea msongo wa mawazo tu, mwishowe atajua utatoka tu nje.
 
Bwai
Mimba huja na mengi, unachopaswa kujua ni kwamba mwili wa mwanamke mjamzito hubadilika kabisa hasa miezi ya mwanzoni! Akifika kuanzia sita anaweza kurudi normal!

Wakati mwingine anaweza kuwa mkavu sana, hivyo kupelekea maumivu! Au mabadiliko ya kemikali katika uke kutokana na ujauzito inapelekea kuta za uke kupata maumivu wakati wa tendo.

Kuna kesi nilikutana nayo, mjamzito alikuwa hajisikii kabisa kufanya tendo na mume alipolazimisha mama alitapika vibaya sana! Mume akawa anakwazika na kumpiga kama anamuonea kinyaa!

Unachopaswa kufanya ni kuwa nae close kimahaba, kucheza nae na kutumia tactics mujarabu kuweza kuridhishana, jitahidi kumuelewa vizuri utajua kitu ambacho ukimfanyia angalau atakuwa radhi kufanya tendo.

Huyo sasa hivi si yeye uliyemzoea mpaka hapo atakapotua huo mzigo!!

Usiwe mkali, usitumie nguvu utaleta shida! Uanaume wako ndiyo utaonekana kipindi hiki, wale wazembe hukimbilia michepuko ila nakishauri vumilia mkuu! Lea mimba ujisifu katika ubaba wako na uwe na kumbukumbu nzuri! Pole sana
 
Mzee baba vumilia hyo kawaida mimi pia wife iliwahi mkuta hyo kikubwa nenda nae taratibu hyo hali inawatesa sana huwa. HESHIMA KWA WANAWAKE WOTE.
 
Kipind hicho had mtoto atakavyofikisha miez 6 si mbaya ukawa na dem wa pemben, ukifumaniwa ni easy kujitetea
 
Pole sana kwa tatizo lako mkuu. Najua umuhimu wa hilo tendo.

Je kabla ya ujauzito alikuwa anabana miguu?
mwanzo kabisa alikuwa anabana wakati tunaanza mahusiano na najua kwasababu alikuwa sealed bado, ndiyo alikuwa amemaliza form six ila kadiri tulivyoendelea hakuwa na shida na alikuwa anapenda sana tu, ilikuwa tunafanya hata karibu kila siku round tatu, nne hd tano siku nyingine, haya mabadiliko ni mapya yana kama wiki tatu.
 
Wenyewe wanasema ujauzito sio ugonjwa lakini asikwambie ile hali wanayopitia hawa watu tuwaheshimu tu.
Tukirudi kwenye hoja yako, wanatofautiana kati ya mtu namtu. Mwingine inampelekesha mwanzo mwisho, hataki kusikia kabisa hayo mambo. Mwingine hapo ndio sasa mtaanza hadi uchoke mwenyewe, kundi lingine anaweza asiwe na kujisikia mwanzoni lakini baada ya miezi mitano ya awali ya ujauzito, anakaa sawa kidogo mnaendelea na biashara. Jitahidi tu kumuelewa na kumfariji.
Ukionyesha kuumuzwa na hilo jambo utazidi kumuongezea msongo wa mawazo tu, mwishowe atajua utatoka tu nje.
Mkuu nimekuelewa sana, najitahidi sana kuwa karibu naye walau ajue tuko pamoja kwenye hili.
 
mwanzo kabisa alikuwa anabana wakati tunaanza mahusiano nanikuwa najua kwasababu alikuwa sealed bado, ndiyo alikuwa amemaliza form six ila kadiri tulivyoendelea hakuwa na shida na alikuwa anapenda sana tu, ilikuwa tunafanya hata karibu kila siku round tatu, nne hd tano siku nyingine, haya mabadiliko ni mapya yana kama wiki tatu.
Pole sana kama hakuwa na tabia hiyo basi huwenda ni ujauzito wake unamsumbua tu.

Ujue hawa viumbe wakibeba mimba wanapatwa na hali utofauti muda mwingine, anaweza kukupenda kupita kiasi wakati huo au akakuchukia.

Jaribu kumvumilia.
 
Bwai
Mimba huja na mengi, unachopaswa kujua ni kwamba mwili wa mwanamke mjamzito hubadilika kabisa hasa miezi ya mwanzoni! Akifika kuanzia sita anaweza kurudi normal!

Wakati mwingine anaweza kuwa mkavu sana, hivyo kupelekea maumivu! Au mabadiliko ya kemikali katika uke kutokana na ujauzito inapelekea kuta za uke kupata maumivu wakati wa tendo.

Kuna kesi nilikutana nayo, mjamzito alikuwa hajisikii kabisa kufanya tendo na mume alipolazimisha mama alitapika vibaya sana! Mume akawa anakwazika na kumpiga kama anamuonea kinyaa!

Unachopaswa kufanya ni kuwa nae close kimahaba, kucheza nae na kutumia tactics mujarabu kuweza kuridhishana, jitahidi kumuelewa vizuri utajua kitu ambacho ukimfanyia angalau atakuwa radhi kufanya tendo.

Huyo sasa hivi si yeye uliyemzoea mpaka hapo atakapotua huo mzigo!!

Usiwe mkali, usitumie nguvu utaleta shida! Uanaume wako ndiyo utaonekana kipindi hiki, wale wazembe hukimbilia michepuko ila nakishauri vumilia mkuu! Lea mimba ujisifu katika ubaba wako na uwe na kumbukumbu nzuri! Pole sana
Safi sana hii, walau imenipa faraja kubwa.
Mkuu nitajitahidi sana, roho inaniuma kumsaliti wakati najua changamoto anayopitia ni yetu wote.
 
Mkuu nimekuelewa sana, najitahidi sana kuwa karibu naye walau ajue tuko pamoja kwenye hili.

Jitahidi kutimiza huo wajibu, lakini inaweza kutokea akakuchukia kipindi hiki cha mpito, mvumilie tu.

Mwisho, siku ukiruhusiwa, jitahidi mikao ambayo inaendana na hali yake ya sasa, handle with care, delicately!
 
Pole sana kama hakuwa na tabia hiyo basi huwenda ni ujauzito wake unamsumbua tu.

Ujue hawa viumbe wakibeba mimba wanapatwa na hali utofauti muda mwingine, anaweza kukupenda kupita kiasi wakati huo au akakuchukia.

Jaribu kumvumilia.
Yaani mkuu kuna wakati unamkuta na furaha balaa ila wakati mwingine ni kafura mbaya sana. Kipindi kigumu kweli.
 
Jitahidi kutimiza huo wajibu, lakini inaweza kutokea akakuchukia kipindi hiki cha mpito, mvumilie tu.

Mwisho, siku ukiruhusiwa, jitahidi mikao ambayo inaendana na hali yake ya sasa, handle with care, delicately!
Noted mkuu!
 
Yaani mkuu kuna wakati unamkuta na furaha balaa ila wakati mwingine ni kafura mbaya sana. Kipindi kigumu kweli.
Hahaha hiyo ni mimba mkuu mzoee. Hapo akija kuchachamaa utatafuta msaada wa vumbi la Kongo maana atakuwa kama wamem-switch.
 
Kipind hicho had mtoto atakavyofikisha miez 6 si mbaya ukawa na dem wa pemben, ukifumaniwa ni easy kujitetea
Ngoja nimvumilie tu mkuu hilo linaweza leta shida zaidi.
 
Mzee baba vumilia hyo kawaida mimi pia wife iliwahi mkuta hyo kikubwa nenda nae taratibu hyo hali inawatesa sana huwa. HESHIMA KWA WANAWAKE WOTE.
Aisee respect kweli kwao.
 
Back
Top Bottom