Alidanganywa na Mwanaume wake kuwa ni Askari sasa limemkuta Jambo. Tumuombee

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
3,925
Reaction score
8,853
Mimi binti wa miaka 24 mwaka jana nilipata mchumba akaja hadi nyumbani akanitolea kishika uchumba baada ya hapo tukawa tunasubiri mahali siku ya kutoa mahali ilipofika kweli alikuja na mshenga wake mi sikujuwa kilichoendelea make walikuwa na wajomba ndani baada ya hapo akanivalisha pete.

Alinambia yeye ni askari magereza baada ya hapo mimi nikaenda aliko kuwa anaishi Tabora. Kupaona anapokaa nikakuta anakaa chumba kimoja hakina singbod analala chini godoro la wanafunzi nikajiuliza sana huyu mshahara anapeleka wapi siku kukaa nae chini anasema yeye alikuwa askari ila aliacha kazi sahizi ni fundi rangi kwakuwa nyumban walikuwa washaanza vikao vya send off nikaacha t lipite

Ila kila nikimwomba hela ya kusuka anadanganya natuma hatumi. Kila nikiomba ata vocha atumi tukawa tunagomban ni mwongo ad shetani anaogopa sijawah kukutan n mtu mwongo kama yeye baada ya apo nikawa namuuliza mama mahali alitoa bei gani akanambia laki 8 bado laki 3 ataleta siku ya send off ila nikamuuliza mama akasema siku iyo hakutoa aliomba ataleta kesho yake

Siku ya send off ilipofika wakaja na begi la mchongo baad y shereh wakaondok nalo,siku ya kuja kuchukuliwa mwali nyumban wakawa awana hela wananiomba mimi nilizotunzwa ndo tutumie kusafiri mama aligoma akawaambia waende baada ya wiki wakatuma nauli nikaenda tumefunga ndoa

Baada ya kuanza ndoa rasmi saa nyingine anaondoka nyumbn aachi hela ajawah ata kuninulia mafuta ya kujipaka ata chupi ata nguo ajawah kunipa hela ad tugombane haswa ndo ananipa.

Nishashatki kwao mama ake anamsema lakin ajawah kubadilika ni mwaka sasa sina raha hela yakusuka anakupa kwa mawazo ad nikanyoa yaan huduma ni 0

Yaani kuna siku tuligombana nikafunga vilago vyangu nikawa nahamishia Kwa mjomba angu ile nalud nakuta binamu zake wamechukua vyombo vyangu nilivyopewa kwenye kitchen party wakidai tugawane akati vyombo ni vyangu nikashaangaa sana akat mimi nimenunua kochi ye n kitanda t nd mali yake tena kimoja kingine changu

Nikisema naondoka namuachia kitanda chake na godoro tu ata mashuka nimekuta hana analo moja tu. Yote yangu hayo yakapita tukasuluwisha mwezi huu nimekuja dar kufata mzigo kwa pesa yangu tangu nije huku ajawah kunitumia hela ya matumiz ad nimtukane yaan nimechoka haya maisha.

Hanihudumii yaani ni shida pango inamshinda kulipa ni madeni tu anayo kazi yake kujitapata kwa watu kama ana hela kumbe yaan han ni mwongo t nachoka ad hisia nae sina

sasa naomba ushauri
 
Anihudumii yaan ni shida pango inamshinda kulipa ni madeni tu anayo kazi yake kujitapata kwa watu kama ana hela kumbe yaan han ni mwongo t nachoka ad hisia nae sina

sasa naomba ushauri
Huu uzi hapa ni mahali pake?
 
Back
Top Bottom