Alidanganywa na Mwanaume wake kuwa ni Askari sasa limemkuta Jambo. Tumuombee

Kwenye Kikao chenu si mlisema hamtaki Gentleman wakija waongo waongo ndio fresh
endelea na fundi rangi
 
Anza kudai talaka 3 upesi, ni dhambi mwanamke kuseka katika ndoa bila ya mume kuwa na uwezo. Hata mtume Muhammad S A W alinena hili.
 
Marriage Contract versus Marriage-bussiness Contract.
 
Huuu ni uongo, ninaamini alipokutongoza ukamkubalia kulikuwa na viashiria vilivyokuonyesha kuwa huyo ndiye, mpaka unakubali anakuja kujitambulisha ulikuwa umelala? anakutolea mahari bado umelala yaani ulikuwa hujui maisha utaenda kuishi wewe? kama ulikumbalia katika shida na raha basi pambana shida zenyewe ndio hizo, hakupi hela ya kusuka, sijui chupi hakununulii, wewe hufanyi chochote cha kukuingizia hata 100 ili usuke na kununua hizo chupi? maana asipokununulia chupi na wewe ukawa haujanunua atakaye kaa uchi utakuwa wewe, kusuka hakuna faida kwake zaidi ya wewe na muonekano wako. Vipi chakula ananunua ndani, hamlali njaa, achana na mambo ya kitanda hicho cha futi tatu kinawatosha si mko wawili tu
 
Lakini na wewe inaonekana hauna faida yeyote Kwa mme wako zaidi ya kumpa papuchi Yako na kuchakata basi.
 
Sasa tangu lini mwanaume akaomba nauli?
 
Umempata bwana mwingine ambaye unamuona bora kuliko huyo.

Unatafuta namna nafsi yako isijisikie hatia hata kidogo baada ya kumsaliti mwamba.
 
Pole Sana mwanamke ukimwambia ukweli humpati so tunalazimika kutumia akili ya hivyo yaani
 
Weka picha yako kamili ili nikupe ushauri sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…