Alie daktari toa msaada hapa!

Alie daktari toa msaada hapa!

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
Wana jf embu nisaidieni nna mabishano hp hm eti naskia damu ina rangi ya kijani? na ikitoka mf umeumia kuna hatua inapitia hd inatoka ikiwa nyekundu? Embu nisaidieni jmn
 
sio mpaka daktari aje kukutatulia trivial things kama hizi!. chukua tochi au simu ya tochi mulika katikati ya vidole ukiwa umevibananisha angalia rangi unayoiona ndo utajua maharage ni mboga au kiungo cha kande.
 
kamata ulimi wako kwa mkono wa kushoto,halafu chukua wembe uukate.kisha tema mate chini ukiangalie kipande ulichokitema kinatoa rangi gani,kama huijui mpelekee mama yako;[Nyambafu]
 
Damu zinatofautiana rangi kulingana na aina ya kiumbe husika. Sasa hiyo ni damu ya kiumbe gani inayouliziwa?
 
mkuu kijani kabisa hapana :nimekataa.....kama unaelewa nini maana ya hemoglobin basi utaelewa rangi ya damu.
 
Back
Top Bottom