Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Plastic tunazotumia sasa zinatokana na hayo hayo mafuta kama Hufahamu,Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Julian Brown aka Nature jab mzaliwa wa Atlanta adai kugundua mashine inayoweza kubadilisha taka za plastiki kuwa petroli na diesel safi hajaonekana mtandaoni zaidi ya wiki tatu.
Chapisho lake la mwisho katika mtandao alisema yupo kwenye hatari.
Chanzo: coolrap
View attachment 3422310
Umeandika uongo mtupu!Plastic tunazotumia sasa zinatokana na hayo hayo mafuta kama Hufahamu,
Ukichukua plastic ukaichoma kwenye joto kali iki evaporate na ile liquid ukaipoza unapata mafuta.
Hapa ni kama unatuambia kuna mtu amegundua upatikanaji wa maji kutumia mabarafu.
Umeandika uongo mtupu!
Haya wewe umejaribu kama yeye?
Ukizidiwa akili kubali tu
Akaripoti Sentro
Kesho naanza kuliungurumisha , karibuni mje kununua mafuta kwangu
nimejaribu kumcheki insta ni kweli,ila komenti za wadau zinatisha...wengi wanauliza kama yupo salama maana kapotea mtandaoniMwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Julian Brown aka Nature jab mzaliwa wa Atlanta adai kugundua mashine inayoweza kubadilisha taka za plastiki kuwa petroli na diesel safi hajaonekana mtandaoni zaidi ya wiki tatu.
Chapisho lake la mwisho katika mtandao alisema yupo kwenye hatari.
Chanzo: coolrap
View attachment 3422310
Au nikama ameonekana atakuja kutibua deal la watu hivii ? Mungu amtetee huko aliko .nimejaribu kumcheki insta ni kweli,ila komenti za wadau zinatisha...wengi wanauliza kama yupo salama maana kapotea mtandaoni
No kweli mkuu,mbona hata matairi ya magari yanazalisha petrol au diesel kutegemea na taaluma inayo tumiwa.Plastic tunazotumia sasa zinatokana na hayo hayo mafuta kama Hufahamu,
Ukichukua plastic ukaichoma kwenye joto kali iki evaporate na ile liquid ukaipoza unapata mafuta.
Hapa ni kama unatuambia kuna mtu amegundua upatikanaji wa maji kutumia mabarafu.
Kuna kazi nyengine zenye hela wanatumia hizo plastic ndio maana unaona watu hawatumii sana kwenye mafuta , ambazo ni Nyuzi na Fiber ambazo wana stuff kwenye mito, midoli, masofa etc.Kesho naanza kuliungurumisha , karibuni mje kununua mafuta kwangu
Aaah! Simple Bro .Ngoja nitafute kichaka niwe nachoma hayo mauchafu nizalishe mafuta; kupata lita 100,000 za diseli natakiwa nichome mzigo wa kiasi gani?
Hiyo laki 8 si bora niitumie kukusanya chupa, malailoni n.k ili nitengeneze kiwanda cha kuchakata diesel?Aaah! Simple Bro .
Njoo nikuunge kwenye darasa langu la ujasiriamali ada laki nane kwa wiki 🫣