Aliekuwa dc alitakiww kuhojiwa.. porini n wapi

Aliekuwa dc alitakiww kuhojiwa.. porini n wapi

Polisi wahoji kitu wanachojua ili iweje!?
Hayo mambo ya Siri za chama yanajulikana sana kumbuka Nape wakati ule wa jpm siku alipotolewa bastola alisema kauli ya aina hiyo ,je alihojiwa jibu ni hapana Sababu inajulikana
 
Ila waja bwana.. mtu kazungumza lugha ya mafumbo kavuliwa madaraka bado kumganda aseme porini ni wapi..mkuu emb anza ww kufafanua porini ni wapi alipomaanisha muheshimiwa
 
Pdidy andika vizuri ndugu yangu, tangu tuanze kukusisitiza kuweka juhudi kwenye kkk wiki ijayo si ungekuwa unahitimu darasa la saba?
 
Nilikuwa napata mshtuko niliposikia aliekuwa dc amesema ..walikuwa porin na yeye alihusika

Nilitaman kuona wanasheria wakimhoji atueleze poorin kulikuwa na nn na yeye ahojiwe alihusikaje
Mpwa mapori yako mengi
Mabwepande
Ruvu
Kibaha
Katavi
Mkuranga etc
 
Back
Top Bottom