Aliemshauri ali Mayai kugombea Mungu anamwona

MKUU TFF SIOO STATION YA TV AMA REDIO ILE. NI TAASISI YA KUENDELEZA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU NA JAMAL AMETUFIKISHA PAZURI ANAITAJI KUMALIZIA KUIWEKA HII NCHI PANAPOSTAHILI. .

VOTE4JAMALMALINZI

[HASHTAG]#tmjmsecondterm[/HASHTAG]
Sina uhakika sana na uwezo wako wa kufikiri, kwa lipi alilofanya huyo mainzi wako pale tifua tifua mpk umpigie debe, km mnapiga wote basi ni mda wenu wa kukaa pembeni mtuachie mpira wetu, shiit mainzi
 
hahahaaaaa kama ulitarajia posn mwanzoni kakutosa sahauu time for malinzi again
 
MKUU TFF SIOO STATION YA TV AMA REDIO ILE. NI TAASISI YA KUENDELEZA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU NA JAMAL AMETUFIKISHA PAZURI ANAITAJI KUMALIZIA KUIWEKA HII NCHI PANAPOSTAHILI. .

VOTE4JAMALMALINZI

[HASHTAG]#tmjmsecondterm[/HASHTAG]
Mkuu kwani umehidiwa nini
 
Sasa nimejua kumbe Malinzi anamhofia za Mayai kuliko mgombea yoyote yule kati ya wote.

Ali Mayai kazi uzi ukiona wanakuongelea jua wamekuelewa..!
 
hahahaaaaa kama ulitarajia posn mwanzoni kakutosa sahauu time for malinzi again
Ww endelea kumpigia debe, kwa hayo malipo kiduchu aliyokulipa, but now ni wa mainzi kukaa pembeni atuachie mpira wetu
 
Dhuuy!! Nmekutoa ufaham kutoka leo aiseeee
At vot malinz alikushaur hakukuacha salama
 
Ww endelea kumpigia debe, kwa hayo malipo kiduchu aliyokulipa, but now ni wa mainzi kukaa pembeni atuachie mpira wetu
Soma muda na nyakatii hapo juuu uje tenabaada ya uchaguzi tushare kilichotokea nawapi watuwako walichemka tukashindaaa..*tmjmalinzi4secondterm
 
Njaa itakuua wewe
 
Pdidy na wewe wa bei che kiasi hiki. amefanya nini cha ajabu Malinzi ambacho Mayai hawezi. hata ratiba ya ligi tu iliwashinda TFF.
 
umekosa posn nini mkuu
Ama ulitarajia.nn zaidi ya maendeleoo alioonyesha na anayoendelea kuyaonyesha
Yapi hayo kupata uwenyekiti wa mkoa pale Kagera. kuhamishia ofisi mjini. nini hasa cha maana
 
Sasa nimejua kumbe Malinzi anamhofia za Mayai kuliko mgombea yoyote yule kati ya wote.

Ali Mayai kazi uzi ukiona wanakuongelea jua wamekuelewa..!
Yapi hayo kupata uwenyekiti wa mkoa pale Kagera. kuhamishia ofisi mjini. nini hasa cha maana

lamaana vote4jamalmalinzi
 
Attachments

  • IMG-20170626-WA0007.jpg
    143.3 KB · Views: 29
Pamoja na kuwa Jamal Malinzi system inambeba, wanamichezo na wapenda soka la Tanzania tunaamini kuwa hafai kuwa kiongozi shirikisho kubwa kama TFF..
 
MKUU TFF SIOO STATION YA TV AMA REDIO ILE. NI TAASISI YA KUENDELEZA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU NA JAMAL AMETUFIKISHA PAZURI ANAITAJI KUMALIZIA KUIWEKA HII NCHI PANAPOSTAHILI. .

VOTE4JAMALMALINZI

[HASHTAG]#tmjmsecondterm[/HASHTAG]
Umetumwa kumpigia debe huyo Mainzi wako.Mwambie tunamtaka ATM yeye tumechoka tàasisi inakuwa na ukabila khaah
 
Kwakweli wajumbe mkimrudisha malinzi nitawatoa akili mtakua hazimo ata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…