Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
MKUU TFF SIOO STATION YA TV AMA REDIO ILE. NI TAASISI YA KUENDELEZA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU NA JAMAL AMETUFIKISHA PAZURI ANAITAJI KUMALIZIA KUIWEKA HII NCHI PANAPOSTAHILI. .
VOTE4JAMALMALINZI
[HASHTAG]#tmjmsecondterm[/HASHTAG]
Kwa kuwa yeye ndio forward tegemeo ya Yanga.Malinzi alichosaidia ni mara zote kuibeba yanga kwenye ligi tuu
Mali ya nzi amekupa shi ngap umufanyie kampeniMKUU TFF SIOO STATION YA TV AMA REDIO ILE. NI TAASISI YA KUENDELEZA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU NA JAMAL AMETUFIKISHA PAZURI ANAITAJI KUMALIZIA KUIWEKA HII NCHI PANAPOSTAHILI. .
VOTE4JAMALMALINZI
[HASHTAG]#tmjmsecondterm[/HASHTAG]
Naona wahaya katka ubora wenu mnapigian kampen mshafnya tifutifua ndo sehem ya kabila lenu mshaweka makzi hapo nyambafuuPengine nisingependa kumlalamikia mayai kwa kugombea uenyekiti
Kiukweli kabisaaa aliemshauri ali mayai kugombea aje kuaibikia tff Mungu anamwona
Labda amkujua ana familia yake nayo akijitangaza hivi wako nyuma yake wakitarajia makubwa. Napenda nikuhakikishie RAISI MTARAJIWA TFF N YULE YULE
JAMAL MALINZI
Hakuna mkate utakaoshindana na chai hata iwe ya Rangi..kaka mayai hakuliona hiili..sifa kubwa ukifikia kugombea hata yule aliieshinda huwa anaangalia fadhila wapi pa kukuhifadhi tff ama uoshe oshe vyombo ama kukaribisha wageni pale tff
Naamini kabisa Ali mayai na mnaotarajia kwake anamfwata soon Nyamlani kUjitoa((angalia na mda )mtaniambia
MH Malinzi naamini kabisa hatokuwa na chuki tutakuingiza kwenye vijikamati kama 72h,,nk
Kila la kheri JAMAL MALINZI
VOTE4JAMALMALINZI
[HASHTAG]#TMJMSECONDTERM[/HASHTAG]
Chuki na ukabila hazitakufisha popote.Naona wahaya katka ubora wenu mnapigian kampen mshafnya tifutifua ndo sehem ya kabila lenu mshaweka makzi hapo nyambafuu
Uhaya ndo ambao unafnya taifa star ishuke kiwango cz umnaleta ukabila tu tifutfua hakuna mnachofanyaChuki na ukabila hazitakufisha popote.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Taifa Stars ina wachezaji Wakihaya wangapi?Uhaya ndo ambao unafnya taifa star ishuke kiwango cz umnaleta ukabila tu tifutfua hakuna mnachofanya
Wewe na malinzi si mpo bench la ufundiTaifa Stars ina wachezaji Wakihaya wangapi?
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Mengi tu!Malinzi kafanya nini la maana tokea ameingia?
Nilikua na imani naye wakati anaingia but ameni disappoint sana
Tunataka mpira wetu malinzi turudishie mpira wetu basiPengine nisingependa kumlalamikia mayai kwa kugombea uenyekiti
Kiukweli kabisaaa aliemshauri ali mayai kugombea aje kuaibikia tff Mungu anamwona
Labda amkujua ana familia yake nayo akijitangaza hivi wako nyuma yake wakitarajia makubwa. Napenda nikuhakikishie RAISI MTARAJIWA TFF N YULE YULE
JAMAL MALINZI
Hakuna mkate utakaoshindana na chai hata iwe ya Rangi..kaka mayai hakuliona hiili..sifa kubwa ukifikia kugombea hata yule aliieshinda huwa anaangalia fadhila wapi pa kukuhifadhi tff ama uoshe oshe vyombo ama kukaribisha wageni pale tff
Naamini kabisa Ali mayai na mnaotarajia kwake anamfwata soon Nyamlani kUjitoa((angalia na mda )mtaniambia
MH Malinzi naamini kabisa hatokuwa na chuki tutakuingiza kwenye vijikamati kama 72h,,nk
Kila la kheri JAMAL MALINZI
VOTE4JAMALMALINZI
[HASHTAG]#TMJMSECONDTERM[/HASHTAG]
Mnataka wewe na nani na huo mpira upo wapi?labda kama unazungumzia busha lako kama mpira na hilo ulishafanyiwa operation haliwezi kurudi tena.Tunataka mpira wetu malinzi turudishie mpira wetu basi