acha mbwembwe wewe form four anasoma diploma bila kwenda form six ,ukipata ziro unapotezea six unakuwa form four.hata chuo kikuu unaenda kwa form four kwa mature ageukipata ziro unaruhusiwa kurudia mitihani,mfumo wa elimu huuelewi
unaturudisha kwenye mikataba ya madini tulivyopigwa; huu ni kihiyo wa elimu; bado muda anao arudie tu form six kama Elimu ni rahisi kiasi hicho.acha mbwembwe wewe form four anasoma diploma bila kwenda form six ,ukipata ziro unapotezea six unakuwa form four.hata chuo kikuu unaenda kwa form four kwa mature age
kama ana masters haiwezekani awe karuka hatua,unaweza kuanzia certificate hadi degree,kama umepita shule utaelewaunaturudisha kwenye mikataba ya madini tulivyopigwa; huu ni kihiyo wa elimu; bado muda anao arudie tu form six kama Elimu ni rahisi kiasi hicho.
form six kapita> kataga YAI.kama ana masters haiwezekani awe karuka hatua,unaweza kuanzia certificate hadi degree,kama umepita shule utaelewa
UNATAKA TULIAMUSHE DUDE; SUBIRI MUDA UKIFIKA .............ATAONGOZA TFF KAMA MAKONDA ANAVYOONGOZA DARMkuu, kumbuka kuwa hapa ni mahali 'patakatifu', siyo sehemu ya kupost chochote hata kama ni hisia zako. Kama una ushahidi wa hizi tuhuma zako, tafadhali eleza kwa upana na kuambatisha nyaraka husika zinazothibitisha madai yako.
Bila ushahidi wa hizi tuhuma, wewe utahesabika kama unatumiwa tu. Ni hayo tu Mkuu wangu.
Hilo Dude liamshe sasa hivi kabla hatujafika mbali. Kama huwezi kuliamsha sasa hivi basi ukae kimya milele.UNATAKA TULIAMUSHE DUDE; SUBIRI MUDA UKIFIKA .............ATAONGOZA TFF KAMA MAKONDA ANAVYOONGOZA DAR
MUDA UKIFIKA VYETI VITAWEKWA WAZI ; UDANGANIFU ALIOUFANYA CBE .
TIME WILL TELLHilo Dude liamshe sasa hivi kabla hatujafika mbali. Kama huwezi kuliamsha sasa hivi basi ukae kimya milele.
Wahaya utawajua tuPengine nisingependa kumlalamikia mayai kwa kugombea uenyekiti
Kiukweli kabisaaa aliemshauri ali mayai kugombea aje kuaibikia tff Mungu anamwona
Labda amkujua ana familia yake nayo akijitangaza hivi wako nyuma yake wakitarajia makubwa. Napenda nikuhakikishie RAISI MTARAJIWA TFF N YULE YULE
JAMAL MALINZI
Hakuna mkate utakaoshindana na chai hata iwe ya Rangi..kaka mayai hakuliona hiili..sifa kubwa ukifikia kugombea hata yule aliieshinda huwa anaangalia fadhila wapi pa kukuhifadhi tff ama uoshe oshe vyombo ama kukaribisha wageni pale tff
Naamini kabisa Ali mayai na mnaotarajia kwake anamfwata soon Nyamlani kUjitoa((angalia na mda )mtaniambia
MH Malinzi naamini kabisa hatokuwa na chuki tutakuingiza kwenye vijikamati kama 72h,,nk
Kila la kheri JAMAL MALINZI
VOTE4JAMALMALINZI
[HASHTAG]#TMJMSECONDTERM[/HASHTAG]
Pdidy huyu Malinzi amalizie nini alichokibakiza? Kwani nyasi hazijakamilika Kaitaba? Au Aje amalizie zile pesa alizoziacha kwenye Account ya TFF?MKUU TFF SIOO STATION YA TV AMA REDIO ILE. NI TAASISI YA KUENDELEZA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU NA JAMAL AMETUFIKISHA PAZURI ANAITAJI KUMALIZIA KUIWEKA HII NCHI PANAPOSTAHILI. .
VOTE4JAMALMALINZI
[HASHTAG]#tmjmsecondterm[/HASHTAG]
Southafrica 0 taifa stars 1Ulikuwa na imani nae wewe kama Mani?
Taifa Stars 2 vs Malawi 0
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app