Aliens wakija duniani sasa hivi na kutathmini uvaaji wetu watadhani watu weusi ndio matajiri kuliko wazungu

Weusi wa Mbagala hawavai kama kina Gucci Mane au Chris Brown naona picha hazina uhalisia kabisa.
 
asante kwa taarifa




kazi kweli kweli/jobtrue
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kuna waafrika pia hawajui kuvaa
 
Mbona hii dunia tuliyonayo imejaa Aliens kibao, tembelea night club ukawaone!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…