Aliesoma BSC with education anaweza akawa mkufunzi wa chuo Cha ualim ngaz ya diploma?

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Wakuu mwenye uelewa naomba anieleweshe,maana npo njia panda, maana mwanzon nlikuwa naelewa kuwa ili uwe mwalim wa chuo Cha ualim diploma ni lazma uwe umesoma BED!! Swali langu ni je hata BSC unaweza ukawa tutor?
 
Wakuu mwenye uelewa naomba anieleweshe,maana npo njia panda,maana mwanzon nlikuwa naelewa kuwa ili uwe mwalim wa chuo Cha ualim diploma ni lazma uwe umesoma BED!! Swali langu ni je hata BSC unaweza ukawa tutor ??
Inawezekana sana tu ila inategemea una GPA ya ngapi??
 
Inawezekana kikubwa gpa iwe 3.5
Kuna tangazo niliona la Ajira za mkataba
 
Wakuu mwenye uelewa naomba anieleweshe,maana npo njia panda,maana mwanzon nlikuwa naelewa kuwa ili uwe mwalim wa chuo Cha ualim diploma ni lazma uwe umesoma BED!! Swali langu ni je hata BSC unaweza ukawa tutor ??
Mostly wanachukuliwaa kwa ufaulu atleast 3.5 GPA. Pia Uhitaji wa Chuo kwa maana Educational subject and Teaching Subject
 
Wakuu mwenye uelewa naomba anieleweshe,maana npo njia panda,maana mwanzon nlikuwa naelewa kuwa ili uwe mwalim wa chuo Cha ualim diploma ni lazma uwe umesoma BED!! Swali langu ni je hata BSC unaweza ukawa tutor ??
Inawezekana kabisa. Kuna mwaka waliajiri Bsc na BA education vyuoni bila kubagua.
Ingawa tangu mwaka 2014 hawajaajiri wakufunzi wapya vyuoni.
Na utaratibu mpya uliopo kwa sasa ni kuwapromote walimu wenye sifa kutoka secondary kulingana na mahitaji ya wizara
 
Back
Top Bottom