Jamani naomba msaada,kuna aliewahi kununua kitu kwenye website ya aliexpess na malipo kufanyika bila tatizo lolote kama wizi kwenye account yake ya bank?
Usihofu pesa ndogo, aliexpress hawana wizi. Na isitoshe wana money security system inaitwa alipay. Wewe nunua bila hofu kabisa. Ila ukiogopa tupe kazi sisi tukununulie kama hawa wengine waliposhindwa tuliwanunulia sisi www.kalumbilo.co.tz/testimonials.html