Allah is sufficient
Member
- Mar 21, 2024
- 16
- 10
Khaa aan for sure nilifreeze for a while how dare anataka nitume 15k over nothing bora angenidanganya hata ninunue bidhaa moja afu baadae anitapeli sio kuwa straight foward hivi orjooUkiona unaitiwa fursa tambua wewe ndio fursa yenyewe.. Hakuna kitu kinaitwa Ali express Tanzania kinachezesha upatu
Siwalaumu kiongozi, nilikuwa nataka kujua tu kuhusu wao kiundani hasa miamala yao ya kimitegoKabla hujawatupia lawama AliExpress
Ni vizuri kukumbuka kuwa, inawezekana ni matapeli wanatumia jina lao kama vile matapeli wanavyotumia majina ya viongozi kutapeli watu...
Nimejifunza kitu rahisi kupitia hawa watu wnacheza na akili za watu. Simple task malipo makubwa it means wanajua watakavyokunasa. Nami nimejikataa siwaamini ata
Nishapata bonus zao kama 2.5k kifuta jasho japo baada ya hapo nilivyomalizia task kadhaa hawakunilipa ndipo waliponiamba niwatumie 15k ili wanalipe na faida nami ndio nikasanuka nikaona sio mbaya kushare na wanaJF🤣🤣🤣kwa hivyo ujalala umewaza usiku kucha
Hautaki malipo makubwa unataka kidogo siyo
Hao sio AliExpress, wamekuja na utambulisho huo wakutapeli. Unataka kununua kitu mtandaoni nenda kwenye website yao, tengeneza profile yako na address, chagua njia ya malipo, nunua bidhaa itakufikia nyumbani kwako, hapa TZ wanatumia kampuni inaitwa Speedaf kukufikishia mzigo wako.Jana nilipata kutextiwa whatsapp kwa namba ngeni akijitamvulisha kuwa ni mfanyakazi wa Ali Expresss Tanzania, basi nikamsililiza akanambia alinipa task kuwa atanipatia link then bidhaa nitakayoiona niscreenshot nimtumie. Nikafanya hivyo.
Walikuwa wanakuleta kwenye mtegoNishapata bonus zao kama 2.5k kifuta jasho japo baada ya hapo nilivyomalizia task kadhaa hawakunilipa ndipo waliponiamba niwatumie 15k ili wanalipe na faida nami ndio nikasanuka nikaona sio mbaya kushare na wanaJF
Hata kama ni wao hawapata ata mbuni kutoka kwanguHao sio AliExpress, wamekuja na utambulisho huo wakutapeli. Unataka kununua kitu mtandaoni nenda kwenye website yao, tengeneza profile yako na address, chagua njia ya malipo, nunua bidhaa itakufikia nyumbani kwako, hapa TZ wanatumia kampuni inaitwa Speedaf kukufikishia mzigo wako.
Kwanini unakubali maelekezo kutoka kwa strangers, tena kufanya kitu usichohitaji? Ogopa matapeliHata hvyo kuna bidhaa walinitumia link nikaadd to cart baade Aliexpress real account wakaniemail
Kwanini unakubali maelekezo kutoka kwa watu strangers, tena kufanya kitu usichohitaji? Ogopa matapeli
Kimewaramba hawanipatiHao ni matapeli