Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Sheikh Yahya, mlinzi wake Mkuu, yuko hoi kiafya, sasa unategemea nini?
Tumpe hukumu ya haki tarehe 31/10/2010 kupitia sanduku la kupigia kura na tuzilinde hadi matokeo yametanganzwa!Nimekuwa nikizitafakari mbinu za kusaka madaraka za Bwana JK.
Zimejaa ubabe wa kutaka kulazimisha mambo kwa gharama yoyote, ili mradi yeye awe salama, wengine waumie.
Aliingia kwa nguvu ya Wanamtandao; Mtandao ameusambaratisha. Anafanya kampeni kwa nguvu ya familia, majini na kiburi.
Sasa anataka kurudi kwa style ya hatari zaidi: Kwa nguvu ya Jeshi. Hii ni hatari. Wanajeshi hawaaminiki. Huyu jamaa atatufikisha mahali nchi yetu ianze kutawaliwa kijeshi. Hapo tena hatutaitwa kisiwa cha amani.
Tukumbuke katika kipindi chote cha miaka mitano ya urais wake ameharibu zaidi kuliko kujenga.
Tumfanyeje??
Nimekuwa nikizitafakari mbinu za kusaka madaraka za Bwana JK.