Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Hakusoma hali ya hewa!!!Mimi wajibu wangu ni kutupia kaclip😁😁😁
View attachment 2187009
Wapinzani wama roho mbaya Sana,hao madiwani 18 watakuwa ni wa ChademaMeya wa manispaa ya Moshi Juma Raibu aliingia ofisi na Toyota Landcruiser ila baada ya wajumbe 18 kumkataaa huku 10 wakitaka aendelee na kazi idadi kubwa ikashinda kutokana na tuhuma kadhaa zinazomkabili ilibidi akubali kuvuliwa wadhifa wake na kurudi nyumbani na "toyo" a.k.a bodaboda huku akiliiacha "shangingi" Toyota Landcruiser!!
Ujinga ulimzidi. Aliwatoa kikaoni waliovaa barakoa.Mimi wajibu wangu ni kutupia kaclip😁😁😁
View attachment 2187009
Ndiyo hivyo bwana mkubwa,cheo ni dhamana,ukiboronga lazima ukimbizwe.Meya wa manispaa ya Moshi Juma Raibu aliingia ofisi na Toyota Landcruiser ila baada ya wajumbe 18 kumkataaa huku 10 wakitaka aendelee na kazi idadi kubwa ikashinda kutokana na tuhuma kadhaa zinazomkabili ilibidi akubali kuvuliwa wadhifa wake na kurudi nyumbani na "toyo" a.k.a bodaboda huku akiliiacha "shangingi" Toyota Landcruiser!!
Wote ni Ccm walipita bila kupingwa.Wapinzani wama roho mbaya Sana,hao madiwani 18 watakuwa ni wa Chadema
Hivi wakiitwa watu wenye akili japo kwa kiwango cha 15% utathubutu kwenda kweli?Wapinzani wama roho mbaya Sana,hao madiwani 18 watakuwa ni wa Chadema
Wapinzani wama roho mbaya Sana,hao madiwani 18 watakuwa ni wa Chadema
Msaada wakuu Simu yangu nikibonyeza link kuona picha kama hivyo badala ya Picha inakuja ile ukurasa wa mwanzo jf tuseme ile menu inayoonyesha majukwaa mbalimbali msaada tafadhali tatizo ni nini nakua sioni picha ama video?Mimi wajibu wangu ni kutupia kaclip[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2187009
Meya wa manispaa ya Moshi Juma Raibu aliingia ofisi na Toyota Landcruiser ila baada ya wajumbe 18 kumkataaa huku 10 wakitaka aendelee na kazi idadi kubwa ikashinda kutokana na tuhuma kadhaa zinazomkabili ilibidi akubali kuvuliwa wadhifa wake na kurudi nyumbani na "toyo" a.k.a bodaboda huku akiliiacha "shangingi" Toyota Landcruiser!!
Seriously?Wapinzani wama roho mbaya Sana,hao madiwani 18 watakuwa ni wa Chadema
Nenda play store halafu download app ya web brouser.Msaada wakuu Simu yangu nikibonyeza link kuona picha kama hivyo badala ya Picha inakuja ile ukurasa wa mwanzo jf tuseme ile menu inayoonyesha majukwaa mbalimbali msaada tafadhali tatizo ni nini nakua sioni picha ama video?
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Unatumia app au browser?Msaada wakuu Simu yangu nikibonyeza link kuona picha kama hivyo badala ya Picha inakuja ile ukurasa wa mwanzo jf tuseme ile menu inayoonyesha majukwaa mbalimbali msaada tafadhali tatizo ni nini nakua sioni picha ama video?
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app