Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Kama unahela bas Kuna uwezekano hata hao watoto sio wako,Nilimpenda sana akanizalia watoto tumeishi miaka kumi sikutegemea kama atakuja kuniacha ila alishawaambia baadhi ya watu kuwa ataondoka. Nasasa ameondoka kweli hakika wanawake ni wabaya sana. Wanaume tupende kiasi tena kwa machale.
boss hao wanawake unaowasemea walishazikwa miaka 20 nyuma huko, waliopo saiz ni titi fo tati..Ubaya wao ni nini
Mwanamke haondoki kirahisi rahisi akiwa na watoto
Utakuwa umechangia kuondoka kwake
Jitafakari.
Pole ndugu, chukua bia kwa mangi kupooza koo na stressNilimpenda sana akanizalia watoto tumeishi miaka kumi sikutegemea kama atakuja kuniacha ila alishawaambia baadhi ya watu kuwa ataondoka. Nasasa ameondoka kweli hakika wanawake ni wabaya sana. Wanaume tupende kiasi tena kwa machale.
Acha wenge, je hamna ulichokuwa unamkosea?sio unakuja kulia lia kimama hapa kumbe wewe ndiye ulikuwa unazingua miaka kumi yoteNilimpenda sana akanizalia watoto tumeishi miaka kumi sikutegemea kama atakuja kuniacha ila alishawaambia baadhi ya watu kuwa ataondoka. Nasasa ameondoka kweli hakika wanawake ni wabaya sana. Wanaume tupende kiasi tena kwa machale.
Na watoto siyo wako hao pole, sanaNilimpenda sana akanizalia watoto tumeishi miaka kumi sikutegemea kama atakuja kuniacha ila alishawaambia baadhi ya watu kuwa ataondoka. Nasasa ameondoka kweli hakika wanawake ni wabaya sana. Wanaume tupende kiasi tena kwa machale.
Halafu watoto atalea nani!Twende kigoma mkuu ....kasuru kuna sehemu moja inaitwa bitale kule ndio huwa tunawanyoosha watu wanaojifanya wajuaji kwenye nchi hii
Sema hata wewe mke anawatoto aondoke hivi hivi? Kuna ile mtu anamchukulia poa mke wake hajali hisia zake wala nini! Kuna wengine anajaza mavyakula ndani utazani alitoka kwao kuja kula ili hali alifuatwa yeye ngoja aende anakodhaminiwaAcha wenge, je hamna ulichokuwa unamkosea?sio unakuja kulia lia kimama hapa kumbe wewe ndiye ulikuwa unazingua miaka kumi yote
Ulitafuta kujua chanzo cha Baba yako kupigwa na chuma kizito? Pole sanaHivi inakuaje watu mnapenda hivyo? Mimi tangu utotoni nishuhudie baba yangu akipigwa kichwani na chuma kizito na MAMA yangu mzazi sijawahi kupenda na kumuamini mwanamke.
Huo ni ukweli kaka, miaka kumi aondoke tuu na watoto, hapa kuna shida ingekua ile miaka 2 - 3 ya ku format ma disk baada ya kuoana ningeelewa hamna uvumilivu, ila ten years mwanamke anabeba watoto wake anaondoka...???Sema hata wewe mke anawatoto aondoke hivi hivi? Kuna ile mtu anamchukulia poa mke wake hajali hisia zake wala nini! Kuna wengine anajaza mavyakula ndani utazani alitoka kwao kuja kula ili hali alifuatwa yeye ngoja aende anakodhaminiwa
Anajitetea tu mke aulizwe hapa anaweza funguka mpaka watu wabaki kinywa wazi , haingii akilini labda kama karogwa aonde tu mke na watoto, ndiyo yale mke anajitunza mwenyewe na watoto mpaka anachoka ila inakuwa siri ya nyumba, mwanamtuwe akisema kachoka basi hanaga reverseHuo ni ukweli kaka, miaka kumi aondoke tuu na watoto, hapa kuna shida ingekua ile miaka 2 - 3 ya ku format ma disk baada ya kuoana ningeelewa hamna uvumilivu, ila ten years mwanamke anabeba watoto wake anaondoka...???