madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,421
- 864
- Thread starter
-
- #21
Mkuu maisha ni chuo linapotekea huna budi kukabiliana naloHahahahaaa ila huyo jamaa ni kauzu kweli, sijui ni askari jeshi huyo, nahc alishapitiaga jwtz Tantaw madala mujipa
Siyo wanafiki,hoja ya msingi hapa nadhan ni kwa mwanaume kuachiwa mtoto wa mwaka mmoja na kumlea pekee yake huku akiendelea na shughuli zake na mtoto amekua bila ya wasiwasi.Wanaume wengi ni wanafiki sana! Hapa wanaona kumnyima mama mtoto ni sawa maana kamtelekeza mtoto. Ila wao hutelekeza mimba na bado hutaka kumuona mtoto kirahisi
Kweli kabisa, hata mimi nasapoti hili.Jamaaa alikosea angemnasa huyo bint vibao vya
Maana dadek atavuna alichopanda
[Color= yellow]Triple A[/color]
Yan kuna binadam wengneKweli kabisa, hata mimi nasapoti hili.
Amedanga huko, ndio, anakumbuka kama akibeba mimba miezi tisa.
Mxiuuuuu
Safi sana,,
Jamaa yupo vizuri sana,,,
kiasi cha kutelekezewa mtoto na kuendeleza kupiga hustle za maisha si wa kisport sport,,
salute
Nyeupe kabisa mkuuSiyo wanafiki,hoja ya msingi hapa nadhan ni kwa mwanaume kuachiwa mtoto wa mwaka mmoja na kumlea pekee yake huku akiendelea na shughuli zake na mtoto amekua bila ya wasiwasi.
Wanaume wengi huwapeleka kwa ndugu zao wengine ila huyu kaonesha ujasiri wa hali ya juu ya kuthamini damu yake
Unajua mim naweza kukataa mimba lakin nikalea mtoto kwa kutoa matumizi.
Huyu mama wa mtoto obviously alienda kwa mwanaume mwingine pengine hata huko aliolewa sasa jamaa kumuelewa itakuwa ngumu sana,unajua sis wanaume huwa hatupend vitanda vyetu vilaliwe na watu wengine .
Hongera yake jamaa!
Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app