Alikiba aachia goma jipya linalokwenda kwa jina la joho tena

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Yule mkali wa bongo, mkali wa sauti king kiba, kaachia ngoma ambayo haitamwacha mtu salama ngoma inakwendwa kwa jina joho tena

Hii ngoma ni noma mazee naona simba mwaka huu watAkula nyasi kudadadek
LONDON BABY

 
Nasikitika kusema huu ndio mwanzo wa mwisho wa Ali. Nimesikia uchungu sana Mhenga anaporomoka katika fani.
 
Mtanzania anapopiga kampeni za Kenya na kujifanya anayajua yaliyofanywa na wagombea wa Kenya kuliko wakenya wenyewe 😀😀😀😀😀.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…