Alikiba aachia goma jipya linalokwenda kwa jina la joho tena

Ukiona kitu haukijui basi unauliza kwanza kwa jirani yako hapo ulipo,Joho Tena ni wimbo wa kampeni kwa ajili mshikaji wake wa Mombasa anaitwa Joho ni kama marehemu Capt Komba alivyotuimbia CCM nambari 1 vileeee
Kwahiyo ndio sababu wimbo kuwa m'baya, si ndio ???
 
Imebidi nicheke tu yaan wimbo wa kampen uje ulinganishe na nyimbo za mapenz kwel aiseee naon panadol hazijawasaidia bado nenda kapate ushaur wa daktar naona bado mna maumivu tena yamezid zaid
 
Hicho kiyoooo kinakera sana. Huyu jamaa mshamba sana
 
best song ever
 
Jamani ni wimbo sio nyimbo tukitumie kiswahili vizuri. Umoja na wingi. Hapo kaimba wimbo mmoja na sio nyimbo nyingi. AHSANTE KWA KUELEWA.
 
Uelewa na udadisi wetu hakika ni butu,wimbo wa kuumbea kura huko Mombasa!!!!
 
Sasa hyo si nyimbo ya kampen kabsa halaf unatuletea ushuz huku,,,muwe mnatuamia hata theluth moja ya akili zenu bas kupost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…