AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
mbona wasanii kibao waliwahi kuchaguliwa katika tuzo za kimataifa bila kolabo,mwaka 2010 diamond alichaguliwa kwenye tuzo za mtv base na nyimbo yake ya mbagala,ulkuwa kwenu igunga nini mwaka huo?
Mkuu hivi umeelewa content ya thread kwel?

Alikiba ndiyo msanii aliyepata nomination nyingi (4) kuliko wasani wote wa East Africa, huku hasimu wake Diamond akiambulia nomination 2 kwenye tuzo hizi.
Note: Hii ni kavu kavu bila collabo.
Hongera Alikiba,NyumbaniTV
mbona wasanii kibao waliwahi kuchaguliwa katika tuzo za kimataifa bila kolabo,mwaka 2010 diamond alichaguliwa kwenye tuzo za mtv base na nyimbo yake ya mbagala,ulkuwa kwenu igunga nini mwaka huo?
Huyu mlinzi wa tembo hana hadhi ya kuwa hasimu wa DIAMOND kwa lolote.Alikiba ndiyo msanii aliyepata nomination nyingi (4) kuliko wasani wote wa East Africa, huku hasimu wake Diamond akiambulia nomination 2 kwenye tuzo hizi.
Note: Hii ni kavu kavu bila collabo.
Hongera Alikiba,NyumbaniTV