Alikiba ajifunze lugha ya kiingereza, ameshakuwa msanii wa kimataifa

Hata hivyo mastaa wangapi tunaona wanatembea na wakalimani wako,embu tujiamini na kile tulichonacho na kujijua Kwa ufasaha zaidi kuliko kuendelea kuwa watumwa Wa fikra kiasi hiki....
 
Wakalimani kazi yao ni nini? Sio lazima kujua lugha zote duniani. Kinachohitajika ni uwezo wa kufanya mambo.
 
Acha ubwegee, hiyo ni lugha tu kama kilivyo kiswahili. Atajifunza ngapi sasa!!!!??
 
Je wewe ukiambiwa hotuba ya dakika tano kwa kijerumani utaweza? Anza kujifunza sasa.
 
anajua bhana hebu tafta ONE 8 SCENE uone anavyomwagika lugha
 
Kabla hujamzungumzia Ali Kiba hebu jifunze kwanza ww Kiswahili.
 
MTU anajua ki franch ashindwe English try to be serious otherwise grow up
 
Kiswahili chenyewe hamkijui. Acheni utumwa wa akili
 
MTU anajua ki franch ashindwe English try to be serious otherwise grow up
Ki franch ndo lugha gan [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] fact ya kijinga grandis un peu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…