Wewe uliona lini Rais wa France, Russia, China, Japan hata German Counc wanaongea English public. Sio kwamba hawajui ni ufahari kuongea lugha yako mbele za watu.
Mleta mada ni mtumwa wa mawazo kwanza unadhan ule mkataba wa kimataifa wa sony king alisaini kwa kutumia kihehe? Mtu anaimba hadi kifaransa we leo unazungumzia English? kiba Form6 EGM usimchukulie poa, kwanza pitia clip zake za One eight na Rkelly pamoja na clip za wildaid ndio utaelewa