Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
Dah. Nimekuelewa sana ndugu. Kweli inawezekana ikawa kakubali ama kakataaAhsante ni jibu linaloweza kutafsiriwa kua nimesiki. Hujajua amekubali au amekataa. Kwa mfani mtu akikukaribisha kula unamwambia asante na unaweza usende kula
After all the answer is too generalSo amepost? Au kakubali ushauri huko dm?
Kwani Lini Diamond kamsupport Kiba? Au Kiba pekee ndio anatakiwa aoneshe one love
Afrimma, AfrimaKwa tunzo gani
Afrimma, Afrima
sikutegemea jibu tofauti na hili, poa ngoja nilaleHuko diamond hakuwepo au ..hebu lala huna kazi umejaliwa majungu tuu na umbeyaa
angeandika matusi nisingepostYaani mambo mliyochat sirini unayaleta hadharani tena, duh! haya tutafika tu japo kwa kuchelewa
unajua maana ya private?angeandika matusi nisingepost
Hizi wote walikuwa kwenye kinyang'anyiro isingewezekana mmoja ampigie debe mwenzake kwenye categori ambayo wote wapo.Afrimma, Afrima
yah. najua private ni nanba isiyoonekana kwenye simu mtu akikupigiaunajua maana ya private?
umepanic plazawau wengine mnakosa sijui muda wa kutulia kufikiri...sa hayo si ya nbox yani watu wawili...au unatakaumforce kiba kwanjia fulani ampigie debe online.....piga kazi kuwa logical....