Alikiba alamba dili nene

Unateseka ukiwa stoo ya wapi ewe Mmatumbi mwenzangu????
 
Mkuu umeongea kweli tupu, lakinii inawezekana labda kiba anaoba ameshafikia malengo aliyojiwekea. Fursa ya yeye kua wa kimataifa zaidi anayo ila ni yeye tu hajitumi kwenye branding, mi nadhani jamaa karidhika na pale alipofika.

Haya mambo mengine nadhani mashabiki ndo wanataka afanya lakini labda yeye kesharidhika.
 
Endorsement ndio zinawapa sana pesa wasanii wa kenya ambao hata kuimba hawajui ila sie tunaojua kuimba sasa daaah......niishie hapa
 
Kuhusu nandy pesa nyingi anayoingiza
Hapo inarud cmg connection nyingi
Zmetengenezwa na CMG.

hapo yeye anatengeneza BRAND CMG Hua hawaiingii Mahali kifala Fala Kama hawajaona fursa ya maana,hata ushwish
Mkubwa na promotion inatoka CMG
 
Kiba kazubaa sana japo ndo mwanamziki ninaemkubali kwa sauti nzuri,anajua kuimba sana tena.
 
Kuwa na heshima na King Kiba usifananishe na hao mateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ