Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulifikiri kwa kuwa ni Tour dunia nzima basi kila siku atakuwa anafanya show?!Watu wapo busy na sepenga, BTW mi nlifikir show yake maana ana tour dunia nzima kumbe kaenda kuangalia movie
Nyie ndio mnampoteza huyo msanii wenu kwa kumshauri ujinga, sasa katika hiyo video kuna kipi kipya cha kustaajabisha maana hata mimi sio celebrity ila kilichofanyika hapo naweza kufanya.Ulifikiri kwa kuwa ni Tour dunia nzima basi kila siku atakuwa anafanya show?!
Nenda kafanye alafu ulete video tuone.Nyie ndio mnampoteza huyo msanii wenu kwa kumshauri ujinga, sasa katika hiyo video kuna kipi kipya cha kustaajabisha maana hata mimi sio celebrity ila kilichofanyika hapo naweza kufanya.