Alikiba amezungumza uteuzi wa Jokate

Barcelona763

Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
26
Reaction score
21
Jokate ambaye ameteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.
Amefurahi na kumpa hongera kuteuliwa was jokate mkuu wa wilaya ya Kisarawe akiongea na Millard Ayo tv
 
Mtu kupongeza chakula yake nayo ni habari?
 
hahahahahahahahahahahahahaha mapenzi bana mhhhhh hapo kama anhekuwa hAjAwOwA baaada ya muda mfupi tungesikia anatarajia kufunga ndoa na Jojolilo hahahahahahahhahahahahahahahahaahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…